Sunday, 4 August 2013

TAZAMA HAPA BAADHI YA PICHA ZA VIDEO MPYA YA WIMBO WA SWEETY LOVE-ANWAYLE

Video hio ikiwa imefanywa chini ya DIRECTOR JERRY MUSHALA....cheki baadhi ya picha.
katika pozi tofauti:swagga inc.





Friday, 12 July 2013

IRENE UWOYA AFUNGUKA BAADA YA DIAMOND KUMLIPUA JANA



kuna saa najiuliza kwanin ukimwamin mtu ndio anageuka...kwanin ukiwa muwaz watu wanakuchukulia vbaya? Leo nimeumia sanaaa kuliko skuzote...sijaamini mtu niliye mwamini kumuona kama rafiki yangu anaweza kuongea shit kuhusu mim...au najiuliza siruhusiwi kuwa na rafik wa kiume? Lakin sa nyingine nakaa chin nasema God ...u know me better” alifunguka Uwoya.
Sababu kubwa iliyodaiwa kumfanya Diamond atembee na Uwoya ni kitendo cha muigizaji huyo kudaiwa kumponda mara kwa mara na alikuwa hampendi Diamond ambaye alikuwa anafikishiwa habari hizo na marafiki zake Irine.

"KILA MTANZANIA NI LAZIMA ALIPIE SH. 1000 KWA AJILI YA KADI YA SIMU YAKE"....WAZIRI WA FEDHA AMESISITIZA TENA.

 
SERIKALI imesisitiza kuwa itatoza Sh 1,000 kwa kila kadi ya simu inayotumika lakini pia inaangalia utaratibu wa kufanya makato hayo kwa njia ambayo haitamuumiza mtumiaji wa simu. Akizungumza jana jijini Dar es salaam, Waziri wa Fedha,Dk William Mgimwa alisema kuwa kupitia tozo hizo wanatarajia kukusanya Sh bilioni 160 kwa mwaka.

“Kupitia wawakilishi wenu na sisi serikali kuwa sikivu, tulishauriwa na ikaonekana kwamba kuna uwezekano wa kupata chanzo kingine cha mapato kupitia kadi za simu” alisema.
Alisema katika mapendekezo yaliyokuwa yametolewa serikali ilishauriwa kutoza Sh 1,450 katika kila kadi ya simu lakini baada ya kukaa na kushauriana serikali iliona ni vyema ikatoza Sh 1,000 ili kila mwananchi aweze kumudu gharama ambapo kwa mwaka kila mmiliki wa kadi ya simu atatozwa sh 12,000.
Alisema baadae serikali ilipokea mapendekezo mbalimbali ili kuangalia kama hilo linaweza kutekelezeka na walipita ngazi zote kabla halijapelekwa katika kamati za Bunge na kushauriwa kwamba tozo hilo linaweza kufanyika kwa lengo la kukuza uchumi hasa maeneo ya vijijini.
 
“Tathmini zote zimefanyika kikamilifu na baadae suala hilo likafikishwa Bungeni ambapo pia napo lilikubalika... inawezekana watu wanalalamika lakini ngazi zote suala hilo lilipopita lilikubalika na ikaonekana ni sawa kutozwa sh 1,000 kwa kila kadi ya simu” alisema.

Alisema kutokana na hilo kwa kutwa nzima kadi ya simu itatozwa Sh 33.35 au Sh 100 kwa siku tatu ambapo serikali inaangalia utaratibu mzuri ambao hautamuumiza mtumiaji wa simu.

Dk Mgimwa alisema fedha hizo zitakazokusanywa zitaongeza upatikanaji wa maji vijijini, umeme pamoja na kuboresha miundombinu katika maeneo ya vijijini.
Habari Leo

MWANAJESHI AKAMATWA NA JINO LA TEMBO.MUANGALIE HAPO ANACHAPA USINGIZI

 
Mwanajeshi anayesadikiwa kukutwa na jino la Tembo akiwa chini ya ulinzi pamoja na kidhibiti chake.Namna hii Tutafika kweli jamani!!!

VIDEO YA WEMA SEPETU AKIPIGWA MATE YAVUJA.....

 
Video inayomuonesha staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu akidendeka na mwanaume imevuja mtandaoni...
Haikuweza kufahamika mara moja lengo la Wema na mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina la Aidany ‘kujishoot’ wakifanya vitendo hivyo ila wanaonekana wakiwa katika mazingira ya ki-Mr & Mrs.



Aidha, katika video hiyo, Wema anaonekana kutumia nguvu kubwa kumshawishi Aidany amsogezee mdomo lakini mwanaume huyo anasita na hata alipokubali kudendeka hakutoa ushirikiano wa asilimia 100.

Mwanaume fegi mkononi
Katika video hiyo, mwanaume huyo anaonekana kutumia muda mwingi kuvuta sigara yake huku Wema akiwa bize kumpapasa kimahaba.


Ni filamu?
Baada ya video hiyo kunaswa swali lililokuja ni je, ni sehemu ya filamu za mwanadada huyo anayemiliki Kampuni ya Endless Fame au ni uhalisi wa mambo!



 Katika kujua ukweli, mwandishi wetu alifanya jitihada za kumtafuta Wema kupitia simu yake ya mkononi lakini mara nyingi imekuwa ikiita bila kupokelewa.

Aidha, mwandishi alichukua hatua ya kwenda nyumbani kwake maeneo ya Kijitonyama jijini Dar lakini alimkosa na hata alipokwenda ofisini kwake hakuweza kumpata.

Wednesday, 10 July 2013

HII NDIO COVER PHOTO YA NYIMBO YA MSANII STEVE R'N'B....KUTOKA HIVI KARIBUNI

 

Icheki hapa official cover photo ya nyimbo ya msanii steve r'n'b 
anaetamba na nyimbo yake ya
jambo jambo ...

PICHA YA KWANZA YA AMBER ROSE & WIZ KHALIFA TOKA WAFUNGE NDOA

 
Mastaa Amber Rose na rapper Wiz Khalifa wamefunga
ndoa rasmi jana July 8 2013 na sasa ni Mr.  and Mrs. Thomaz
 ambapo muda mfupi baada ya ndoa Amber alitweet 
“Yay me and my baby are officially married!!!” na kuweka
 hiyo picha instagram iliyokua na maneno
yanasema 
“Happily ever after.”

MAAJABU ...HUYU ndo MWANAMKE MZEE KULIKO WOTE DUNIANI ALIZALIWA MWAKA 1885 ANA MIAKA 125 NA BADO YU HAI


Oldest woman of worldA chinese woman born in 1885 and still alive! -127 year old.

HUYO NDO "MELLIS EDWARD" ALIYEKAMTWA NA MADAWA YA KULEVYA AKIWA NA "AGNESS MASOGANGE.

Picha  ya  Mrembo Mellis Edward  aliyedakwa  na  madawa  ya  kulevya  Afrika  kusini  akiwa  na  Agness Masogange.

                                                    Mellis Edward
Inahisiwa kuwa  huyu mwanamke wa pili aliyetajwa na Kamanda Nzowa kwa jina la “Melisa Edward”  ni mdogo wake na Agnes ambaye katika akaunti ya facebook anayo tumia jina la (MELLIS EDWARD) , Agnes amemuweka katika orodha ya family kama ‘sister’ katika akaunti yake ya Facebook