Mastaa Amber Rose na rapper Wiz Khalifa wamefunga
ndoa rasmi jana July 8 2013 na sasa ni Mr. and Mrs. Thomaz
ambapo muda mfupi baada ya ndoa Amber alitweet “Yay me and my baby are officially married!!!” na kuweka
hiyo picha instagram iliyokua na maneno
yanasema “Happily ever after.”
No comments:
Post a Comment