
Ndege ya Asiana 214 ikiwa imeungua kwa ndani na kuharibika kabisa.

Ndege ya Asiana 214 ikiteketea kwa moto baada ya kuanguka kwenye uwanja wa kimataifa wa San Frans
isco hapo jana July 06, 2013Msemaji mkuu wa uwanja wa San Francissco, Doug Yakel akiongea na vyombo vya habari baada ya ndege ya Asiana 214 kuwaka moto.
No comments:
Post a Comment