Wednesday, 3 July 2013

Huyu mtangazaji wa radio ndio Bwana wake Wema Sepetu kwa sasa.Kama unamjua mwingine tuambie.


 

 
Siri Imefichuka.Tazama Picha ya Wema Sepetu Alivyofumaniwa Akiwa Anatomaswa Live na huyu jamaa ambaye inasemakana ndio Mpenzi Wake Siku Hizi.Huyu ni Raheem Mtangazaji wa Times fm
ambaye pia ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar-Es Salaam.Mhhhhhhhhhhh!! Kazi kwako Wema yetu macho.

No comments:

Post a Comment