Tuesday, 2 July 2013

TAZAMA PICHA:RADIO NA WEASEL WALIVYOWAKILISHA KWENYE BET AWARD 2013

 

Hii ilikuwa tarehe 1/7/2013 kwenye Tuzo za Kituo cha Televisheni
Maarufu Dunia kama B.E.T AWARD
inayofanyika kila mwaka..... Hapa tunawangalia wasaani 
hawa toka Uganda nawazungumzia
Goodlife..... Radio & Weasel waliokuwepo kutoka East Africa
 wakiwa kwenye Kinyang'anyiro
cha Tuzo moja wapo kati ya tuzo 28 za B.E.T.....

No comments:

Post a Comment