MAMIA NCHINI AFRIKA KUSINI WAJITOKEZA KATIKA MAANDAMANO YA AMANI YA KUPINGA KUJA KWA RAISI OBAMA
Waandamaji
wa Nchini Afrika Kusini wakiwa wanasali mbele ya Ubalozi wa Marekani
wakati wa maandamano ya kupinga kuja kwa Raisi Obama Nchini Humo jana
wakati Raisi Obama alipotua Nchini Humo Kwa Ziara ya Siku 2 .
No comments:
Post a Comment