Friday, 12 July 2013

IRENE UWOYA AFUNGUKA BAADA YA DIAMOND KUMLIPUA JANA



kuna saa najiuliza kwanin ukimwamin mtu ndio anageuka...kwanin ukiwa muwaz watu wanakuchukulia vbaya? Leo nimeumia sanaaa kuliko skuzote...sijaamini mtu niliye mwamini kumuona kama rafiki yangu anaweza kuongea shit kuhusu mim...au najiuliza siruhusiwi kuwa na rafik wa kiume? Lakin sa nyingine nakaa chin nasema God ...u know me better” alifunguka Uwoya.
Sababu kubwa iliyodaiwa kumfanya Diamond atembee na Uwoya ni kitendo cha muigizaji huyo kudaiwa kumponda mara kwa mara na alikuwa hampendi Diamond ambaye alikuwa anafikishiwa habari hizo na marafiki zake Irine.

"KILA MTANZANIA NI LAZIMA ALIPIE SH. 1000 KWA AJILI YA KADI YA SIMU YAKE"....WAZIRI WA FEDHA AMESISITIZA TENA.

 
SERIKALI imesisitiza kuwa itatoza Sh 1,000 kwa kila kadi ya simu inayotumika lakini pia inaangalia utaratibu wa kufanya makato hayo kwa njia ambayo haitamuumiza mtumiaji wa simu. Akizungumza jana jijini Dar es salaam, Waziri wa Fedha,Dk William Mgimwa alisema kuwa kupitia tozo hizo wanatarajia kukusanya Sh bilioni 160 kwa mwaka.

“Kupitia wawakilishi wenu na sisi serikali kuwa sikivu, tulishauriwa na ikaonekana kwamba kuna uwezekano wa kupata chanzo kingine cha mapato kupitia kadi za simu” alisema.
Alisema katika mapendekezo yaliyokuwa yametolewa serikali ilishauriwa kutoza Sh 1,450 katika kila kadi ya simu lakini baada ya kukaa na kushauriana serikali iliona ni vyema ikatoza Sh 1,000 ili kila mwananchi aweze kumudu gharama ambapo kwa mwaka kila mmiliki wa kadi ya simu atatozwa sh 12,000.
Alisema baadae serikali ilipokea mapendekezo mbalimbali ili kuangalia kama hilo linaweza kutekelezeka na walipita ngazi zote kabla halijapelekwa katika kamati za Bunge na kushauriwa kwamba tozo hilo linaweza kufanyika kwa lengo la kukuza uchumi hasa maeneo ya vijijini.
 
“Tathmini zote zimefanyika kikamilifu na baadae suala hilo likafikishwa Bungeni ambapo pia napo lilikubalika... inawezekana watu wanalalamika lakini ngazi zote suala hilo lilipopita lilikubalika na ikaonekana ni sawa kutozwa sh 1,000 kwa kila kadi ya simu” alisema.

Alisema kutokana na hilo kwa kutwa nzima kadi ya simu itatozwa Sh 33.35 au Sh 100 kwa siku tatu ambapo serikali inaangalia utaratibu mzuri ambao hautamuumiza mtumiaji wa simu.

Dk Mgimwa alisema fedha hizo zitakazokusanywa zitaongeza upatikanaji wa maji vijijini, umeme pamoja na kuboresha miundombinu katika maeneo ya vijijini.
Habari Leo

MWANAJESHI AKAMATWA NA JINO LA TEMBO.MUANGALIE HAPO ANACHAPA USINGIZI

 
Mwanajeshi anayesadikiwa kukutwa na jino la Tembo akiwa chini ya ulinzi pamoja na kidhibiti chake.Namna hii Tutafika kweli jamani!!!

VIDEO YA WEMA SEPETU AKIPIGWA MATE YAVUJA.....

 
Video inayomuonesha staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu akidendeka na mwanaume imevuja mtandaoni...
Haikuweza kufahamika mara moja lengo la Wema na mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina la Aidany ‘kujishoot’ wakifanya vitendo hivyo ila wanaonekana wakiwa katika mazingira ya ki-Mr & Mrs.



Aidha, katika video hiyo, Wema anaonekana kutumia nguvu kubwa kumshawishi Aidany amsogezee mdomo lakini mwanaume huyo anasita na hata alipokubali kudendeka hakutoa ushirikiano wa asilimia 100.

Mwanaume fegi mkononi
Katika video hiyo, mwanaume huyo anaonekana kutumia muda mwingi kuvuta sigara yake huku Wema akiwa bize kumpapasa kimahaba.


Ni filamu?
Baada ya video hiyo kunaswa swali lililokuja ni je, ni sehemu ya filamu za mwanadada huyo anayemiliki Kampuni ya Endless Fame au ni uhalisi wa mambo!



 Katika kujua ukweli, mwandishi wetu alifanya jitihada za kumtafuta Wema kupitia simu yake ya mkononi lakini mara nyingi imekuwa ikiita bila kupokelewa.

Aidha, mwandishi alichukua hatua ya kwenda nyumbani kwake maeneo ya Kijitonyama jijini Dar lakini alimkosa na hata alipokwenda ofisini kwake hakuweza kumpata.

Wednesday, 10 July 2013

HII NDIO COVER PHOTO YA NYIMBO YA MSANII STEVE R'N'B....KUTOKA HIVI KARIBUNI

 

Icheki hapa official cover photo ya nyimbo ya msanii steve r'n'b 
anaetamba na nyimbo yake ya
jambo jambo ...

PICHA YA KWANZA YA AMBER ROSE & WIZ KHALIFA TOKA WAFUNGE NDOA

 
Mastaa Amber Rose na rapper Wiz Khalifa wamefunga
ndoa rasmi jana July 8 2013 na sasa ni Mr.  and Mrs. Thomaz
 ambapo muda mfupi baada ya ndoa Amber alitweet 
“Yay me and my baby are officially married!!!” na kuweka
 hiyo picha instagram iliyokua na maneno
yanasema 
“Happily ever after.”

MAAJABU ...HUYU ndo MWANAMKE MZEE KULIKO WOTE DUNIANI ALIZALIWA MWAKA 1885 ANA MIAKA 125 NA BADO YU HAI


Oldest woman of worldA chinese woman born in 1885 and still alive! -127 year old.

HUYO NDO "MELLIS EDWARD" ALIYEKAMTWA NA MADAWA YA KULEVYA AKIWA NA "AGNESS MASOGANGE.

Picha  ya  Mrembo Mellis Edward  aliyedakwa  na  madawa  ya  kulevya  Afrika  kusini  akiwa  na  Agness Masogange.

                                                    Mellis Edward
Inahisiwa kuwa  huyu mwanamke wa pili aliyetajwa na Kamanda Nzowa kwa jina la “Melisa Edward”  ni mdogo wake na Agnes ambaye katika akaunti ya facebook anayo tumia jina la (MELLIS EDWARD) , Agnes amemuweka katika orodha ya family kama ‘sister’ katika akaunti yake ya Facebook

WEMA SEPETU ANASAKWA NA POLISI BAADA YA KUMTUKANA NA KUMPIGA MAKOFI MENEJA WA HOTELI WAKATI POMBE IKIWA UTOSINI

 
DIVA wa filamu za Bongo ambaye pia ni Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu anasakwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kawe, Dar es Salaam kwa tuhuma za kufanya fujo hotelini, kumtukana matusi ya nguoni na kumpiga makofi meneja wa hoteli hiyo, Godluck Kuyumbu. Songombingo hilo lilijiri saa tano usiku wa Jumatano iliyopita kwenye hoteli hiyo  iliyopo Kawe Beach, jijini Dar. 

Akizungumza na mwandishi wetu , meneja huyo alisema siku ya tukio majira ya saa nane mchana, Wema alifika kwenye mgahawa wa hoteli hiyo akiwa ameongozana na marafiki zake wapatao kumi.
Meneja huyo akaendelea kusema, ilipofika  saa tano usiku, Wema na marafiki zake  walionekana kuzidiwa na kilevi, wakaanza kufanya fujo kwa kupiga kelele, kitendo kilichowakera wateja waliokuwa katika mgahawa huo, wengi wakiwa ni Wazungu ambao waliondoka kutokana na fujo hizo. 




Aliongeza kuwa mmoja wa marafiki wa Wema ambaye ilidaiwa ni mpenzi wake, aliyejulikana kwa jina moja la D, alichukua glasi na kuipasua chini kwa makusudi huku meneja huyo akishuhudia
Meneja akasema: Wakati wanaondoka, nilimfuata yule jamaa mpaka nje, nikamuuliza ni kwa nini amevunja glasi kwa makusudi, akanijibu kwa dharau huku akinitukana na kutishia kunipiga, akawa ananiuliza hiyo glasi ni shilingi ngapi kwani ?.
 
Aliongeza kuwa swali lake kwa kijana huyo lilionesha kumkera sana Wema, kwani alitoka kwenye gari na kuanza kumlamba vibao visivyo na idadi meneja huyo huku akimpa maelekezo kwamba akashitaki popote na hawezi kufanywa kitu kwani yeye ana nguvu kwenye nchi hii.
“Niliamua kupiga simu Kituo cha Polisi Kawe, wakaja kuangalia mazingira kisha nikaondoka nao kwenda kufungua kesi kituoni.”
 
Faili la kesi hiyo linasomeka KW/RB5988/2013, SHAMBULIO.

KABLA AGNESS MASOGANGE HAJAKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA ALIWEKA PICHA HII!!

 
Picha aliyoipost Agnes Masogange katika mtandao wa Instagram kabla yeye na mwenzake hawajakamatwa na shehena ya madawa ya kulevya yenye thamani ya Tshs. bilioni 7 katika uwanja wa ndege wa OR Tambo jijini Johanesburg nchini Afrika Kusini mwanzoni mwa wiki hii.

Sunday, 7 July 2013

NEW VIDEO:Bob Junior - Kimbiji (Sharobaro)

OPRAH WINFREY MWANAMKE MWENYE MSHIKO MREFU KULIKO WOTE DUNIANI

Ukizungumzia Mwanamke mwenye upeo mkubwa na
 mwenye maendeleo duniani basi hautakosa kusikia
Jina ili kwenye Masikio yako......OPRAH WINFREY..

Oprah ambae amejipatia umaarufu kupitia kipindi chake
cha televisheni cha Utangazaji
kilichokuwa kinaeenda kwa jina la Oprah Winfrey Show
 na sasa kinaitwa OWN....
Mwanamama huyo aliezaliwa Mwaka wa 1954,January
29 ndani ya nchi ya Marekani jiji la
Mississipi....!!
Mwanamama huyo kwa sasa ndie mwanamke mwenye
kisu kirefu na kikali zaidi duniani  kwa mujibu wa
mtandao wa FORBES yanii
hapa nikimaanisha ni mwanamama mwenye hela nyingi
kupita wanawake wote duniani na ndie
mwanamke mwenye ushawishi mkubwa kwenye maswala ya kijamii....!!
Mwenye utajiri ufikiao Dolla za Kimarekani 423 kwa
mwaka 2012-2013 june....
Bado akiwa amechangia vitu vingi kama miradi ya maji
kwenye bara la Afrika na sehemu mbalimbali
Afrika na duniani kiujumla......
Kwenye List hiyo Oprah ameweza kukaa akiongoza kwa
 muda wa miaka 6 akiwa mwanamke mwenye mshiko mrefu
huku anaemfatia kwa nyuma ni Beyonce & Lady Gaga
ambae amewaacha kwa mbali kabisa.....!!

Makala ya leo nakuletea Picha kadhaa za mwanamke
 huyu mwenye nguvu ya kipesa na mjenngo ambao
anaumiliki wenye thamani ya dola za kimarekani mil 62....
Zicheki picha 3 Kuona mjengo huo...!!
Oprah akiwa na Rais wa Taifa Lake Barack Obama na
First Lady Mama Mitchelle Obama...!!
Hili ndio jumba la mwanama Oprah linavyoonekana kwa upana....!!

Angalia PICHA.......Masanja Mkandamizaji akiwa nje ya jengo la Ikulu ya Marekani











Comedian toka Tanzania, Emanuel Mgaya, maarufu kama Masanja Mkandamizaji akiwa nje ya Ikulu ya Marekani jijini Washington. Masanja yuko nchini Marekani kwa matembezi na shughuli zake za sanaa na Injili. 

YASEMEKANA HAWA NDO WANAWAKE WAWILI WAZURI KULIKO WOTE DUNIANI

photophotophoto
Fathima Kulsum Zohar Godabari who was once a royal Princess is now an official Queen in Saudi Arabia.
She was recently photographed without niqab covering her face and the pictures were published on the internet, exposing her beautiful facial features to the world for the first time.

Since the release of the pictures, many have argued her to be the most beautiful woman on earth.

Kuwa wa kwanza kujua hoteli iliyojengwa Mwaka 1879 katikati ya maji.

NDEGE YA ASIANA 214 YAANGUKA NA KUTEKETEA KATIKA UWANJA WA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA SAN FRANSISCO USIKU WA JANA.


Ndege ya Asiana  214 ikiwa imeungua kwa ndani na kuharibika kabisa.
Ndege ya Asiana 214 ikiteketea kwa moto  baada ya kuanguka kwenye uwanja wa  kimataifa wa San Frans
isco hapo jana July 06, 2013Msemaji mkuu wa uwanja wa San Francissco, Doug Yakel akiongea na vyombo vya habari baada ya ndege ya Asiana  214 kuwaka moto.

WAKAZI AMJIBU TID"BAADA YA KUMDISS ATAIMBA WIMBO GANI BBA"SOMA HAPA ALICHOSEMA


Rapper Webiro Wassira aka Wakazi amefunguka kupitia Bongo5 kuwa kitendo cha TID kumdiss kuwa haoni wimbo atakoutumbuiza kesho kwenye eviction show ya Big Brother Africa The Chase kinaonesha kuwa staa huyo wa ‘Kiuno’ hajui anachokiongea.
Jana kupitia Twitter, TID aliandika: Wakazi ataimba wimbo gani, anaenda kuonyesha kofia zake za marekani#mzee kasema#radarworththisshit#watuwabaya#msiwemaf**a.

Akijibu kuhusu kile anachoweza kujibu baada ya 

tweet hiyo ya TID, Wakazi amesema: Sasa ntamjibu nini, anaongea vitu asivyovifahamu, yeye hapo akimuona Wakazi anaona kofia za Marekani sasa mtu kama huyo utaongea naye!!”

“The greatest ignorance ya mtu ni pale anapoamua kudiss kitu ambacho hakijui au hajakifahamu bado vizuri , mtu kama huyo huwezi kuanza kubishana naye, na yeye ananiona mimi Mmarekani, wakati mimi ni Mtanzania, angekaa miaka mitatu Ulaya au Marekani angejiona na yeye ni mtu wa huko kwa jinsi upeo wake ulivyo.”

HUU NDO MWONEKANO MPYA WA LULU, AZIDI KUPENDEZA KILA SIKU

Friday, 5 July 2013

MAAJABU YA DUNI; Mtoto wa Mwaka Mmoja Mwenye Mimba Awashangaza Madaktari China

Madaktari wa nchini China walishangazwa kuona mtoto wa mwaka mmoja ana ujauzito.
Mtoto Kang Mengru wa nchini China alipelekwa hospitali baada ya wazazi wake kushtushwa na hali ya tumbo lake kuzidi kuwa kubwa siku hadi siku.
Baada ya mtoto huyo kufanyiwa ultrasound, madaktari waligundua kuwa mtoto huyo wa kike alikuwa amebeba kitoto kichanga kwenye tumbo lake ambacho kilikuwa kikiendelea kukua.
Madaktari wanaamini kuwa mama wa mtoto huyo alikuwa na mimba ya watoto wawili mapacha na pacha mmoja alijitokeza ndani ya tumbo la pacha mwenzake.


Hali kama hiyo ya kichanga kuzaliwa ndani ya kichanga kingine ni nadra sana kutokea na humtokea mwanamke mmoja katika wanawake 500,000.

Mtoto Kang atafanyiwa upasuaji kukiondoa kichanga hicho tumboni mwake.

PICHA ZA LAANA ZA KUNDI LA BAIKOKO - TANGA

Hizi  ni  baadhi  ya  picha  za  kundi  la  wacheza  uchi / nusu  uchi  maarufu  kwa  jina  la  Baikoko  lenye  maskani  yake Tanga....

 
 

TOP TEN YA MATAJIRI WAKUBWA DUNIANI– 2013

10. Christy Walton $26.5 billion.


Christy Walton - Richest Woman 2013
Christy Walton and her family hauled in $26.5 billion. Christy and her family’s Walmart chain of stores are still a juggernaut in the retail business and even with the controversy involving labor relations the chain of stores and related business keeps on hauling in the money. Bernaud Arnault of LVMH is said to be in the tenth spot at $29 billion but that’s in question.


9. Mukesh Ambani $27 billion.

Mukesh Ambani Richest Indian 2013
May have beaten out Liliane Bettencourt for the ninth spot as Liliane has a reported $30 billion from L’Oreal. Ambani, a 55 year old from Aden, Yemen is of Indian heritage and graduated from the University of Bombay. He’s the CEO of Reliance Industries Limited (RIL) an Indian enery and materials company known as Reliance Group.


8. Eike Batista $30 billion.

Eike Batista 2013
The 56 year old German of Brazilian nationality attended RWTH Aachen University. He’s CEO of the EBX Group. He got rich from oil and gas. His wealth has been up and down but he’s still in the top ten.


7. Amancio Ortega $31 billion.

AMANCIO ORTEGA
Has competition from three others. Li Ka-Shing, David Koch and Charles Koch. Ortega is a 76 year old Spanish business man. He co-founded the Inditex group. His line of Zara clothing and related shops and accessories are his bread and butter.


6. Lakshmi Mittal $39.1 billion.

Lakshmi Mittal - Richest Indian 2013
The ever smiling Indian business man and chairman and CEO of the ArcelorMittal conglomerate he’s also the co-owner of Queens Park Rangers F.C. And Karrick Limited. The steel industry magnate resides in London, UK and is of Indian and British heritage.


5. Larry Ellison $39.5 billion.

larry_ellison richest people 2013
This New Yorker from the Lower East Side of Manhattan is the CEO of Oracle Corporation and its co-founder. He attended both the University of Illinois at Ubana Champaign and the University of Chicago. An avid professional tennis fan and player he’s also a yachtsman.


4. Bernard Arnault $41 billion.

Bernard Arnault 2013 richest people list
The French magnate is 64 years old and hails from Roubaix, France. He attended Ecole Polytechnique and is now chairman and CEO of LVMH and chairman of Christian Dior S.A..


3. Warren Buffett $50 billion.

warren_buffett 2013
Well known for his outspoken views on politics, finance, and social issues, the 82 year old Nebraskan is the chairman and CEO of Berkshire Hathaway. He attended the University of Nebraska-Lincoln Columbia University. He’s also renown for his philanthropic ventures.


2. Bill Gates $56 billion.

Bill Gates Richest People 2013
The 57 year old is the co founder and chairman of Microsoft as well as the co chair of the Bill and Melinda Gates Foundation that is world famous for their charitable endeavors. He’s also the CEO of Cascade Investment and chairman of Corbis. The Seattle, Washington born Gates attended Harvard University. He’s also a board member of Warren Buffett’s Berkshire Hathaway group.


1. Carlos Slim Helu $74 billion.

Carlos Slim Helu - Richest Person 2013
Comes in again year after year as the wealthiest human being on Earth. The 73 year old Mexican national of Lebanese descent was educated as a civil engineer. He attended the Universidad Nacional Autonoma de Mexico and is the chairman and CEO of Telmex, America Movil, Samsung Mexico, Grupo Carso.

Rais mpya wa Misri ambaye ni Jaji Mkuu ameapishwa tayari kuwa Rais wa Muda wa nchini hiyo.





Jaji mkuu wa mahakama ya juu zaidi ya kikatiba ameapishwa nchini Misri kuwa rais wa muda baada ya jeshi kumng'oa mamlakani rais aliyechaguliwa na raia kwa njia ya kidemokrasia na kushinda kwa wingi wa kura, Mohammed Morsi.

Vingozi wa kimataifa wameelezea wasiwasi kuhusu kuhusu hatua ya kumpindua mamlakani rais huyo.

Mkuu wa jeshi Generali Abdul Fattah al-Sisi alitoa tangaza hilo kupitia televisheini Jumatano jioni, katika kile Morsi, alisema ni mapinduzi ya kijeshi.
Generali Sisi alisema kuwa Morsi,ambaye ni rais wa kwanza kuchaguliwa amekosa kutimiza mahitaji ya watu.
Hatua hiyo inakuja baada ya siku nyingi ya maandamano, dhidi ya rais Morsi wa chama cha Musolim Brotherhood.
Waandamanaji walimtuhumu yeye na chama chake kwa kusukuma ajenda ya kiisilamu kwa taifa hilo na kukosa kusuluhisha matatizo ya kiuchumi yanayokumba taifa hilo.
Chama cha Muslim Brotherhood kimesema kuwa bwana Morsi pamoja na washauri wake wako chini ya kifungo cha nyumbani na hawana mawasiliano ya nje.
Hapo awali mkuu wa majeshi alisema kuwa katiba ya nchi hiyo imeahirishwa na kwamba jaji mkuu wa taifa hilo atachukuwa mamlaka ya rais.
Maelfu ya waandamanaji wanaompinga bwana Morsi mjini Cairo walisherehekea kwa shangwe na vifijo kufuatia taarifa hiyo ya jeshi lakini wale wanaomuunga bwana Morsi wanasemekana kubaki kimya huku wakisubiri matukio yatakayofwata.
Rais Obama amesema kuwa ana wasiwasi mkubwa kuhusiana na matukio yaliyopo nchini Misri huku katibu mkuu wa umoja wa mataifa Banki Moon akitaka kuwe na utulivu.

Mwanafunzi wa Chuo kikuu avuliwa nguo zote na kubaki uchi wa mnyama baada ya kuiba Simu.

Tukio hili limetokea huko Nigeria ambapo binti anayesemekana ni wa mwaka wa kwanza alikwenda kutembea katika hostel za wenzake na alipopata mwanya akaiba simu aina ya Black Berry.

 Hata hivyo baada ya mwenye simu kushtuka binti huyo aligoma kuichukua simu hiyo na ndipo watu
walipoamua kuipiga na kuanza kuita ikiwa sehemu za siri. Baada ya tukio hilo wavulana kutoka vyumba vya pembeni walikuja na kumsachi huku wakimvua nguo, hakuwa na la ziada zaidi ya kuwa mpole wakati watu wakimpiga picha hizo za aibu. 


Thursday, 4 July 2013

SHILOLE ATINGA DUKANI HUKO MAREKANI AKIWA NA TAULO TU

 
 
MSANII wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ametoa kali ya mwaka baada ya kunaswa akiingia ‘supermarket’ akiwa ametinga taulo.

Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika mji wa Maryland nchini Marekani ambapo staa huyo amekwenda kwa ajili ya kufanya shoo kisha kupigwa picha hiyo na rafiki yake ambaye aliiweka mtandaoni ikimuonesha akiwa amefunga taulo kwenye matiti.
 

Mwandishi wetu alipomuuliza Shilole kulikoni kupitia mtandao wa Instagram, alifunguka:
 

“Huku watu wanaishi kizungu hakuna mtu anayeshughulika na maisha ya mwenzake kila mmoja anahangaika na mambo yake kwa hiyo siyo ajabu mimi kuvaa taulo na kwenda nalo supermarket, huku ni kawaida tu.”

Breaking News.Rais Mohamed Morsi wa Misri amepinduliwa na Jeshi Usiku wa jana

General Abdul Fattah al-Sisi, addressing the nation on Egyptian State Television Wednesday, July 3, 2013 




Generali Abdul Fattah al-Sisi akizungumza moja kwa moja kutoka televisheni ya taifa ya Misri
===============
Hatimaye jeshi la Misri limejitokeza live kwenye televisheni ya Misri na kutangaza rasmi kuifuta katiba ya nchi hiyo muda mfupi kutoka sasa.

Generali Abdul Fattah Al-Sisi, amesema kuanzia sasa mwanasheria mkuu wa mahakama ya katiba ndiye atakuwa anakaimu madaraka yote ya raisi na kutangaza rasmi kutomtambua bwana Mohamed Morsi.
Wapinzani wa raisi Morsi waliandamana na kukusanyika katika uwanja wa Tahrir Square na kuonekana wakishangilia kwa nguvu wakati Generali Abdul akitoa tangazo hilo la kumpindua raisi Morsi

Mchakato huo wa kumng'oa bwana Morsi ni kufuatia maandamano ya umma ya siku nne kumtaka raisi huyo aachie madaraka na kutii amri ya jeshi ambayo imeisha usiku wa leo jumatano saa nne usiku kwa saa za Tanzania

Aidha kituo cha TV kilichokuwa kikimilikiwa na bwana Morsi cha Muslim Brotherhood kilizimika sekunde chache baada ya Generali Abduli kumaliza hotuba ya kumpindua rais MORSI aliyeingia madarakani baada ya kumpindua aliyekuwa raisi wa nchi hiyo .

Familia ya Nelson Mandela Ngome nzito mpaka sasa.

Kijijini Qunu
Mjukuu wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini Mzee Nelson Mandela, Mandla Mandela ameshutumia vikali kwa kitendo chake cha kuhamisha mabaki ya miili ya watoto watatu wa Mzee Nelson kutoka kwenye makaburi waliyokua wamezikiwa.Al Jazeera wameripoti kwamba tayari familia ya mzee Nelson Mandela inatajwa kufikiria kuchukua hatua za kisheria zaidi kwa mjukuu huyo mkubwa kuliko wote wa Mandela ambae alifanya hicho kitu bila idhini ya familia 2011 na kuzika mabaki karibu na nyumbani kwake miaka miwili iliyopita..Familia imekua ikipelekeshana nae na kulumbana kuhusu ni wapi atazikwa Mzee Mandela atakapofariki kwa sababu mwenyewe alishawahi kutamka karibu miaka 20 iliyopita kwamba akifa azikwe kwenye kijiji cha Qunu lakini Mandla amekua akifanya mipango Mzee akazikwe MVEZO.Nyumba ya mzee Mandela kijijini Qunu
Pamoja na hiyo ripoti ya Al Jazeera, BBC wameripoti kwamba Mandla ameshindwa katika hiyo kesi ambapo Mahakama kuu iliamua maiti hizo lazima zirejeshwe katika makaburi yao Jumatano.
Mandela anaendelea kuugua hospitalini na haijulikani ikiwa mawakili wa Mandla watakata rufaa dhidi ya uamuzi wa mahakama.
Jamaa za familia ya Mandela waliwasilisha kesi ya uhalifu dhidi ya Mandla kwa kosa la uhalifu.
Msemaji wa polisi, Mzukisi Fatyela aliambia BBC kuwa maafisa wa usalama watachunguza tuhuma dhidi ya Mandla za kufukua makaburi kinyume na sheria.